Podomatic Create, Find, Share Podcasts!
Home Podcasts Community Create a Podcast

Search Episodes

  Episodes
  Podcasts


Media Type
  All
  Audio
  Video


More Results
sefmarko.podOmatic.com Umma Africa 1.0
The Umma Project is dedicated to promoting a positive hip hop community in Africa. With that being said, we've got a few African hip hop joints for your ears. Track 1: "Breathe" by Nthabi featuring Reason. Holding down South Africa's flourishing hip hop scene, this track from Nthabi and Reason is a proper introduction to our first edition podcast. Track 2: Ukoo Flani...
PLAY http://sefmarko.podOmatic.com/entry/2008-06-23T11_07_35-07_00
mwanakijiji.podOmatic.com "Tutaendelea kuwafunua mafisadi" --- Kubenea
KLHN imepata nafasi ya kuzungumza na Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai Bw. Robert Manumba kuhusu suala la kuvamiwa waandishi wa wahabari. Bw. Manumba hata hivyo amekataa kuhojiwa akidai kuwa tayari wameshatoa statement yao na maelezo yao ndivyo yalivyo hadi sasa. Nilipojaribu kumbana zaidi Bw. Manumba alikata simu. Hata hivyo tumepata nafasi ya kuzungumza na Mhariri Mtendaji wa Hali Halisi Bw. Saed Kubenea ambaye ameelezea kwa kirefu kilichojiri na pia kutoboa mambo mengine...
PLAY http://mwanakijiji.podOmatic.com/entry/2008-07-19T21_49_25-07_00
mwanakijiji.podOmatic.com KLHN Exclusive: Dr. Slaa ajibu hotuba ya Rais Kikwete
Mara baada ya hotuba ya Rais kwa Wabunge siku ya tarehe 21 August 2008 KLHN Ilipata nafasi ya kuzungumza na Katibu Mkuu wa Chama Chade Demokrasia na Maendeleo Mhe. Dr. Wilbroad Slaa (Karatu) kuhusu mtazamo wake kuhusu hotuba hiyo. Ifuatayo basi ni sehemu kidogo ya hotuba ya Rais na mahojiano kamili na Dr. Slaa.
PLAY http://mwanakijiji.podOmatic.com/entry/2008-08-22T09_14_23-07_00
mwanakijiji.podOmatic.com Juu ya vifo vya Watoto 20 Tabora, siku ya Idi Mosi.
Bila ya shaka utakuwa umeshasikia na kugushwa na habari za vifo vya watoto wapatao ishirini waliokuwa siku ya Idi huko Tabora kwenye ukumbi wa Muziki kutokana na kukosa hewa na kukanyagana wakitafuta kutoka ukumbini humo. Hii ni sehemu ya kwanza ya maoni yangu, sehemu ya pili itakuwa kwenye gazeti siku ya Jumapili. Ni lazima tukasirike.
PLAY http://mwanakijiji.podOmatic.com/entry/2008-10-02T22_39_17-07_00
pablomachine.podOmatic.com Musician Jose Camelion falls from Tanzania hotel
Musician falls from Tanzania hotel Mugira Fredrick, AfricaNews reporter in Kampala, Uganda Ugandan musician, Jose Chameleon, has been admitted in Nsambya hospital in Kampala after falling from the third floor of a five star hotel. He broke his legs in the process at Impala hotel in Arusha, Tanzania. Cameleon was in Tanzania for concerts in Arusha and Tanga where the incidence happened. Chameleon said after performing in Tanga in Tanzania Saturday night, he went to Arusha where his accommoda...
PLAY http://pablomachine.podOmatic.com/entry/2008-10-08T05_52_28-07_00
mwanakijiji.podOmatic.com Serikali yaipiga mkwara Mwanahalisi, Kubenea ajibu hoja!
Kwenye ukurasa wa mbele kuna habari iliyozua kasheshe Tanzania. Habari hii ilitoka kwenye gazeti la Mwanahalisi la Jumatano la kupokelewa kwake kumekuwa na hisia za aina yake kwani siku ya pili yake Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo iliandika barua kwa Mwanahalisi kutaka maelezo juu ya habari hiyo ambayo kwa maoni ya serikali inaonekana ni kiuchochezi na kiuchonganishi. Watu wa serikali wanaona kuwa habari hiyo ilikuwa na lengo la kumchonganisha Rais na viongozi wenzake wa CCM hasa Mhe. Edward Lowas...
PLAY http://mwanakijiji.podOmatic.com/entry/2008-10-09T22_54_00-07_00

More Results

Help | Terms | Privacy | Contact | Enterprise & Advertising | Press | Pro Support

© 2008 PodOmatic, Inc.