|
|
| Featured | Podcasts | Community | Create a Podcast |
KUNA NURU GIZANI ni kipindi cha injili cha Bishop Pius na Rev. Lucy Muiru wa Maximum Miracle Center, kilicho hewani kila wiki kupitia Redio, Runinga na kwa mtandao. Kipindi hiki hutazamwa na kusikilizwa Ulimwenguni kote. Watu wa matabaka mbali mbali wamebarikiwa,wameponywa,wametiwa moyo na wamepata mwelekeo wa maisha kupitia kipindi hiki. Unaweza kuwasiliana nasi kupitia anwani zifuatavyo.
KENYA
S.L.P (P O BOX 56762), NAIROBI. KENYA 00200 SIMU: +254 20 246905/312109
| 28:34 | |
| 28:33 | |
| 26:38 |
Help | Terms | Privacy | Contact | Enterprise & Advertising | Press | PRO Support
© 2009 PodOmatic, Inc.